Loading Otnox...
Otnox
TZTanzania·Autoritate contractantă: MAFIGA HEALTH CENTER

Provision of cleaning services

Deschisă pentru oferte·16 sep 2026

wafanyakazi wawe 6, wanasafisha maeneo yote ya kituo ndani ya majengo na mazingira ya nje,vifaa vya usafi, pamoja na uniform ni gharama za mzabuni,pia wakati wa kazi wafanyakazi wavae uniform. Wafanyakazi watapewa mafunzo y IPC/ mafunzo jinsi ya kujilinda maambukizi wakati wa kufanya usafi na ikitokea wafanyakazi hao wamebadrishwa mzabuni utalazimka kugharamia mafunzo hayo kwa watumishi wapya. Mda wa kufanya usafi kwenye vyumba vya kutolea huduma majengo yote ya kituo mwisho ni saa moja na nusu asubuhi NB, USAFI UTAFANYIKA MARA MBILI KWA SIKU ASUBUHI NA MCHANA. Vyooni usafi ufanyike mara Tatu kwa siku au zaidi kulingana na uhitaji.USAFI UFANYIKE KWA KUTUMIA NDOO TATU KILA KITENGO YAANI NDOO YA SABUNI TU, YA CHLOTINE TU, NA MAJI SAFI TU. · Building cleaning services

Publicat

16.09.2026

Deschisă pentru oferte

16.09.2026

Termen-limită

21.09.2026