Otnox
TZTanzania·Buyer: ENYORATA PRIMARY SCHOOL

Supply of staff uniforms

Closed·27 Oct 2026

sare za mwanafunzi wa kiume (shati lightblue na suruali darkblue) grade one zilizoshona vizuri na kunyooshwa. · kofia darkblue zenye mistari miwili minene ya lightblue na nembo ya shule upande wa mbele. · socks nyeusi zinazoshika mguu vizuri za size tofauti tofauti kwa wanafunzi wa miaka 3-13 · sare za mwanafunzi wa kike (shati lightblue, suruali darkblue na gauni lenye marinda darkblue) grade one yaliyoshonwa vizuri na kunyooshwa. · sweta za darkblue zenye uzi bora na usionyonyoka, zilizotariziwa nembo ya shule upande wa kushoto. · tracksuits darkblue (koti na suruali) zenye mistari miwili myeupe upande wa kulia na kushoto. ziwe na material nzito upande wa ndani. · tshirt zenye mchanganyiko wa darkblue na white. zenye shingo ya V na material ya track. iliyoandikwa mgongoni na kuwekewa nembo kifuani upande wa kushoto. · tai darkblue zenye mpira wa kuvalia shingoni. · tracksuits darkblue (koti na suruali)zenye mistari miwili myeupe upande wa kushoto na kulia. ziwe na material nzito upande wa ndani na ziwekwe nembo ya shule mbele kushoto na kuandikwa jina la shule mgongoni mwa koti.

Published

27.10.2026

Open for bids

27.10.2026

Deadline

30.10.2026

Otnox

Find tenders worth bidding for.

Create an account to explore this tender and find similar opportunities.

  • Tender documentsReview available files in one workspace.
  • Requirements and risksRequest a document analysis with references to the sources.
  • Your tender selectionContinue with your selected markets and sectors.