uvutaji wa maji taka kutoka katika mashimo ya vyoo. mashimo Yapo (7) Saba. Shimo Moja ( 1 ) linaitaji kuzingatiwa zaidi Kwa sababu ya umuhimu na Mihundombinu yake nilivyo. · Building cleaning services · Vifaa vinavyo itajika ni Pamoja na Magari ya liyo sajiliwa Kwa ajili ya kazi husika, Mipira /au mabomba ya kuvuta / Kunyonya maji kutoka katika mashimo ayo. lazima mipira / mabomba yawe malefu na yaliyo mazima Sio ya kuunganisha unganishwa Wala yaliyo pasuka. · Mashimo (3) matu Yana ujazo wa 1.875 M³ na mashimo manne ya na ujazo wa 8.125 M³ ni Jumla ya mashimo Yana ujazo wa Lita 11250 · Umbali wa kutupa / au kumwaga maji taka ni sawa na Km 3 kutoka eneo la mashimo yalipo
Loading...
An activity overview is not currently available for this buyer.
Documents, buyer contacts and AI analysis in one place. Check the requirements, spot risks and compare your options.
Create an account to explore this tender and find similar opportunities.