Catering Services kwa wafanyakazi kwa ratiba ifuatayo. JUMATATU: Ugali/Wali/Ndizi kwa nyama, maharage, mboga za majani, pamoja na maji lita 1 na tunda la msimu. JUMANNE: Pilau/Ugali kwa nyama, maharage, mboga za majani, pamoja na maji lita moja, na tunda. JUMATANO: Kande/Wali - kwa maharage, nyama, maji ya kunywa kita moja, pamoja na matunda. ALHAMISI: Wali/Ugali - kwa maharage/kuku, maji ya kunywa na matunda. IJUMAA: Wali/Ugali - Maharage/Kuku, pamoja na maji ya kunywa pamoja na soda take away. Note: Vyakula lazima viwe vya standard ya hali ya juu na ujazo wa kutosha · Huduma ya catering Services kwa wanafunzi (pilau/kande/Wali Mweupe/ Maharage/ Mboga za majani pamoja na matunda)
Loading...
An activity overview is not currently available for this buyer.
Documents, buyer contacts and AI analysis in one place. Check the requirements, spot risks and compare your options.
Create an account to explore this tender and find similar opportunities.