Otnox
TZTanzania · Stazione appaltante: USHINDI PRIMARY SCHOOL

Supply of Doors and Windows

Chiusa
Pubblicazione29/10/2026Pubblicazione
Scadenza offerte02/11/202610:00 · UTC

Descrizione

KUTENGENEZA NA KUFUNGA MILANGO YA MBAO ZA MITI MIGUMU ILIYOKAMILIKA YENYE UNENE USIOPUNGUA 40MM YENYE FREMU ZA MBAO ZILIZOTENGENEZWA KWA MBAO ZA MITI MIGUMU ILIYOKOMAA, KUKAUKA NA YENYE UNENE USIOPUNGUA 3" X 6" PIA FREMU HIZO ZIPAKWE VANISH, KWA VIPIMO VIFUATAVYO 800 X 2100MM HIGH FREM. · MILANGO 750 X 2000MM HIGH TOP YA PANNEL. · KUTENGENEZA NA KUFUNGA MILANGO YA MBAO ZA MITI MIGUMU ILIYOKAMILIKA YENYE UNENE USIOPUNGUA 40MM PIA IWE NI YENYE FREMU ZA MBAO ZILIZOTENGENEZWA KWA MBAO ZA MITI MIGUMU ILIYOKOMAA, KUKAUKA NA YENYE UNENE USIOPUNGUA 3"X 6" PIA FREMU HIZO ZIWE NA VENTI NA KIOO CHEUPE CHENYE UNENE USIOPUNGUA 5MM PAMOJA NA KUPAKA VANISH KATIKA FREMU, KWA VIPIMO VIFUATAVYO 900MM X 2500MM FREMU NA 820 X 2100MM SHATA. · KUTENGENEZA NA KUPACHIKA GRILL YENYE SQUARE PIPE ZA VIPIMO 25MM X 25MM ILIYOJAA VIZURI GREDI ONE SQUARE PIPES IWE IMEPAKWA REDIOXIDE PAMOJA NA RANGI NYEUSI, KWA KUZINGATIA VIPIMO VIFUATAVYO 900 X 2100MM HIGH. · KUCHONGESHA MADAWATI YA MTI WA MBAO ZA MITI MGUMU (MLINGOTI MWEKUNDU EXT) KWA KUZINGATIA SPECIFICATIONS. · KUCHONGESHA MEZA NA KITI CHA MWALIMU KWA KILA DARASA KWA KUZINGATIA SPECIFICATIONS (MEZA TATU(3) NA VITI VITATU(3).)

Otnox Intelligence

Caricamento...

Attività del committente

Gare—ultimi 12 mesi
Valore medio contratto—ultimi 12 mesi
Spesa totale—ultimi 12 mesi

Il riepilogo delle attività di questo committente non è al momento disponibile.

Hai già un pass?Accedi

Comprendi la gara prima di presentare un’offerta.

Documenti, contatti dell’ente e analisi IA in un unico posto. Verifica i requisiti, individua i rischi e confronta le opportunità.

  • Documenti originali di gara
  • Estrazione di requisiti e rischi
  • Gare simili
  • Contatti acquisti
  • Corrispondenza con IA
  • Dati delle gare in ChatGPT e Claude
Pass giornaliero da 19 €

Dati di contatto

Soggetto
USHINDI PRIMARY SCHOOL
Referente
Email
Telefono
Fonte
Otnox

Trova gare a cui vale la pena partecipare.

Crei un account per approfondire questa gara e trovare opportunità simili.

  • Documenti di garaConsulta i file disponibili in un unico spazio di lavoro.
  • Requisiti e rischiRichiedi un’analisi dei documenti con riferimenti alle fonti.
  • La tua selezione di gareProsegui con i mercati e i settori selezionati.